Swali: Umesema kuwa mwanamke mwenye hedhi inajuzu kumjamii mbali na tupu ya mbele. Je, kwa hilo inapata kufahamika kwamba inajuzu kumjamii kwenye tupu ya nyuma?
Jibu: Hapana. Hili ni haramu, ni mamoja kwa mwenye hedhi na asiyekuwa na hedhi. Ni haramu. Hii ni liwati. Ni dhambi kubwa miongoni mwa madhambi makubwa. Anaweza kumjamii kwenye mapaja yake na sehemu nyingine ambazo anaweza kustarehe na akamwaga. Hili limeruhusiwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13342
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket