Kumjamii aliyesafika kutoka katika hedhi kabla ya kuoga

Swali: Mwenye hedhi kufanya jimaa akisafika kabla ya kuoga.

Jibu: Hapana, haijuzu:

فَإِذَا تَطَهَّرْنَ فَأْتُوهُنَّ

”Watakapotwaharika basi waendeeni.”

Mpaka wajisafishe:

فَإِذَا تَطَهَّرْنَ فَأْتُوهُنَّ مِنْ حَيْثُ أَمَرَكُمُ اللَّـهُ

”Watakapotwaharika basi waendeeni kupitia pale alipokuamrisheni Allaah.”[1]

Swali: Je, jambo hilo linalazimisha kutoa kafara?

Jibu: Ndio, akimwingilia kabla ya kuoga.

[1] 02:222

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23562/حكم-وطء-الحاىض-اذا-طهرت-قبل-الاغتسال
  • Imechapishwa: 11/02/2024