Swali: Je, inafaa kumchukua kipanga kama mnyama wa kufuga na sio kwa lengo la kuwinda?

Jibu: Hapana neno muda wa kuwa atampa chakula na kinywaji na asimtese. Hapana vibaya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 09/12/2023