Swali: Je, inafaa kumchukua kipanga kama mnyama wa kufuga na sio kwa lengo la kuwinda?
Jibu: Hapana neno muda wa kuwa atampa chakula na kinywaji na asimtese. Hapana vibaya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 09/12/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Hukumu ya kuwinda mbwa mwitu na nyani
Swali: Ni ipi hukumu ya kuwinda mbwa mwitu, nyani, mbwa na kipanga kwa ajili ya kuwauza? Jibu: Mbwa hauzwi. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza thamani ya mbwa. Vivyo hivyo simba na simbamarara hawauzwi. Kwa sababu ni haramu [kuwala].
In "Mawindo"
Biashara ya ndege wa kuimba na samaki wa mapambo
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara wa ndege wenye kuimba? Jibu: Haina neno wakiwa ni wale ndege walioruhusiwa, kama vile majogoo, kuku na wengineo. Hata hivyo haijuzu kufanya biashara wa ndege ambao hawakuruhusiwa kama mfano wa tai na kipanga. Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara wa samaki wa…
In "Kazi na ajira"
84. Maana sahihi ya shahaadah ya kwanza kwa mujibu wa Qur-aan
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema: Maana yake ni kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah. “Hapana mungu” ni kukanusha kila kinachoabudiwa badala ya Allaah, wakati “isipokuwa Allaah” ni kuthibitisha ya kwamba ´ibaadah afanyiwa Allaah pekee. Hana mshirika katika ´ibaadah Yake, kama ambavyo hana mshirika katika ufalma Wake.…
In "Sharh Thalaathat-il-Usuwl – al-Fawzaan"