Swali: Ibn-ul-´Arabiy amesema katika maelezo ya at-Tirmidhiy kwamba hakuna Hadiyth yoyote juu ya ubora wa Udhhiyah.

Jibu: Sikumbuki juu yake chochote ambacho ni Swahiyh. Ni kama ilivyosemwa. Mambo yalivyo ni kwamba ni katika matendo na amri yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hadiyth inayosema kuwa anapata kadhaa na kadhaa na kwamba anapata ujira sawa na idadi ya nywele zake [mnyama huyo] ni dhaifu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/6266/هل-صح-حديث-في-فضل-الاضحية
  • Imechapishwa: 08/06/2024