Kuleta suluhu kati ya waliogombana kwa ajili ya Allaah

698 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu anayemsusa mtu kwa sababu ya maasi – je, imesuniwa mtu kuingilia kati kuleta suluhu kati yao?

Jibu: Asuluhishe baina yao kwa kumwamrisha mwenye kufanya madhambi atubu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 247
  • Imechapishwa: 04/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´