699 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwalimu mwanamke anayetoka akiwa amejitia manukato na hushuka kutoka kwenye gari moja kwa moja hadi mlangoni mwa shule?
Jibu: Kuacha ni salama zaidi, huenda akamshusha dereva au akawepo mlinzi kwenye mlango wa shule.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 247
- Imechapishwa: 04/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
699 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwalimu mwanamke anayetoka akiwa amejitia manukato na hushuka kutoka kwenye gari moja kwa moja hadi mlangoni mwa shule?
Jibu: Kuacha ni salama zaidi, huenda akamshusha dereva au akawepo mlinzi kwenye mlango wa shule.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 247
Imechapishwa: 04/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/mwanamke-anatia-manukato-wakati-wa-kwenda-shuleni/