Swali: Kuna mtindo umeenea mahala kunaposwaliwa ´iyd ambapo kunagawanywa tende kabla ya swalah ili watu wapate fadhilah za tende. Je, hichi ni kitendo cha Sunnah au kimezushwa?
Jibu: Huu ni mwenendo wa vijana – Allaah awaongoze. Salaf hawakuwa wanafanya hivi. Hatujui kuwa walikuwa wanagawa tende katika uwanja wa kuswalia. Lililothibiti ni kuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anakula tende kabla ya kutoka nyumbani kwake. Yule anayetaka kufanyia kazi Sunnah ale kabla ya kutoka nyumbani kwake na si kula msikitini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
- Imechapishwa: 30/07/2020
Swali: Kuna mtindo umeenea mahala kunaposwaliwa ´iyd ambapo kunagawanywa tende kabla ya swalah ili watu wapate fadhilah za tende. Je, hichi ni kitendo cha Sunnah au kimezushwa?
Jibu: Huu ni mwenendo wa vijana – Allaah awaongoze. Salaf hawakuwa wanafanya hivi. Hatujui kuwa walikuwa wanagawa tende katika uwanja wa kuswalia. Lililothibiti ni kuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anakula tende kabla ya kutoka nyumbani kwake. Yule anayetaka kufanyia kazi Sunnah ale kabla ya kutoka nyumbani kwake na si kula msikitini.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
Imechapishwa: 30/07/2020
https://firqatunnajia.com/kula-tende-msikitini-siku-ya-iyd/