Swali: Je, inajuzu kula mwenye mgahawa ambapo kunanyiwa pombe na kuna mahala palipofungwa hakunyiwi pombe ambayo ni milki ya mgahawa huu?
Jibu: Nenda kwenye mgawahawa usiokuwa na pombe. Usiende kwenye mgahawa ulio na pombe. Nenda kwenye mgahawa usiokuwa na pombe au nunua chakula na ule nyumbani kwako.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kula mwenye mgahawa ambapo kunanyiwa pombe na kuna mahala palipofungwa hakunyiwi pombe ambayo ni milki ya mgahawa huu?
Jibu: Nenda kwenye mgawahawa usiokuwa na pombe. Usiende kwenye mgahawa ulio na pombe. Nenda kwenye mgahawa usiokuwa na pombe au nunua chakula na ule nyumbani kwako.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1430-10-9.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kula-kwenye-mgahawa-kunaponyiwa-pombe/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)