Kula katika nyumba ambayo mwenye nayo ni mla ribaa

Swali: Ni ipi hukumu ya kula katika nyumba ambayo mwenye nayo anakula ribaa?

Jibu: Hakuna vibaya. Anaweza kuwa na chumo lingine na hivyo mali ikawa yenye kuchanganyika.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 10/10/2021