Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuwakusanya watu na akawaamrisha kumsomea Qur-aan kwa lengo moja wapo kama mfano wa kubadilisha kazi na akawakusanya watu wamsomee Qur-aan ili aweze kufikiwa na baraka katika kazi yake?
Jibu: Allaah ameteremsha Qur-aan ili watu waabudu kwa kisomo chake na kutendea kazi hukumu zake na iwe ni miujiza kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kitendo hichi ulichotaja sio miongoni mwa mambo yaliyoweka Allaah (Subhaanah).
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/343)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket