Swali: Je, inafaa kwa mtu kukusanya nyumbani kwake kunaponyesha mvua?
Jibu: Inafaa kwake kuswali nyumbani kwake.
Swali: Je, inafaa kwake kukusanya swalah?
Jibu: Salama zaidi asifanye hivo. Kwa sababu nyumbani hakuna ugumu wowote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23396/هل-يجوز-جمع-الصلاة-في-البيت-عند-المطر
- Imechapishwa: 12/01/2024
Swali: Je, inafaa kwa mtu kukusanya nyumbani kwake kunaponyesha mvua?
Jibu: Inafaa kwake kuswali nyumbani kwake.
Swali: Je, inafaa kwake kukusanya swalah?
Jibu: Salama zaidi asifanye hivo. Kwa sababu nyumbani hakuna ugumu wowote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23396/هل-يجوز-جمع-الصلاة-في-البيت-عند-المطر
Imechapishwa: 12/01/2024
https://firqatunnajia.com/kukusanya-swalah-nyumbani-wakati-wa-mvua/