Kukosa swalah ya mkusanyiko kwa ajili ya kumwandama mhalifu au anayeeneza maharibifu

Swali 252: Vipi kuhusu kuacha swalah ya mkusanyiko kwa ajili ya kumfuatilia mhalifu au mwenye ufisadi?

Jibu: Hapana vibaya, aache:

”Nimepania kuamrisha swalah ikimiwe… ”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 96
  • Imechapishwa: 09/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´