668 – Nilimuuliza wakati wa kuenea kwa maovu ni lazima kwa mtu kuyakemea yote?

Jibu: Hapana, badala yake anatakiwa kuyakemea kwa kadiri ya uwezo wake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 241
  • Imechapishwa: 26/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´