Mwanaume kustarehe kwa sauti ya mwanamke

Swali 665: Baadhi ya wanazuoni wanasema kwamba kustarehe kwa sauti ya mwanamke asiye Mahram yako ni haramu?

Jibu: Haiko mbali.

Swali 666: Nikamuuliza kama si ni haramu kwa maafikiano?

Jibu: Sijui kuhusu maafikiano. Kisha akataja baadhi ya dalili ikiwa ni pamoja na:

فَلَا تَخْضَعْنَ بِالْقَوْلِ

”Msilegeze kauli.” (33:32)

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 241
  • Imechapishwa: 26/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´