Ndugu, kaeni kwa kusongamana. Hiyo ndio Sunnah. Hili ni tatizo khaswa kwa kuzingatia wengi katika sisi wanadai kuwa wanafuata Sunnah lakini hata hivyo wanaacha kufanyia kazi kubwa katika sehemu yake. Kule kwetu katika msikiti wa Banuu Umayyah unaweza kupata mviringo wa kielimu, kiasi chake, ni kubwa zaidi kuliko nyumba hii. Ni mviringo wa kielimu mkubwa. Lakini mambo yanahusiana tu na kujifakhari. Yote hayo yanakwenda kinyume na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (875)
- Imechapishwa: 13/11/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)