Kujisaidia kwa mkono wa kushoto wakati wa kula

Swali: Vipi mtu akitumia mikono yake yote miwili wakati wa kula kwa mfano katika kukata nyama?

Jibu: Hakuna shida. Hakuna shida akitumia mkono wa kushoto kujisaidia. Lakini asile isipokuwa kwa mkono wake wa kulia.  Ni kama mfano wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhimaa wa sallam) ambaye alikuwa akijisaidia kwa mkono wa kushoto katika kukata nyama na mfano wake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28702/حكم-استخدام-اليسرى-مع-اليمنى-في-الطعام
  • Imechapishwa: 23/04/2025