Kujilinda kwa asiyekuwa Allaah ni shirki kubwa

Swali: Je, kutaka ulinzi kwa asiyekuwa Allaah ni shirki?

Jibu: Ndio, ni shirki kubwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24548/حكم-الاستعاذة-بغير-الله
  • Imechapishwa: 31/10/2024