Kujifuta kwa taulo baada ya kutawadha

Swali: Inajuzu kujipangusa uso na mikono kwa taulo kabla ya kuosha miguu na khaswa ikiwa mtu anaudhika kwa kubaki na viungo vilivyolowalowa?

Jibu: Ikiwa hatopitwa na kule kufuatanisha, haina neno wakati wa haja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 05/11/2016