Swali: Ni ipi hukumu ya kujifunza lugha zingine ikiwa lengo ni kulingania katika dini ya Allaah?

Jibu: Ikiwa ni kwa ajili ya haja haina neno. Hakuna neno kujifunza nazo ikiwa malengo ni sahihi. Hata hivyo haijuzu kujifunza nazo kwa sababu ya kuzipenda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020