Swali: Ni ipi hukumu ya kujifunza lugha zingine ikiwa lengo ni kulingania katika dini ya Allaah?
Jibu: Ikiwa ni kwa ajili ya haja haina neno. Hakuna neno kujifunza nazo ikiwa malengo ni sahihi. Hata hivyo haijuzu kujifunza nazo kwa sababu ya kuzipenda.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kujifunza lugha zingine ikiwa lengo ni kulingania katika dini ya Allaah?
Jibu: Ikiwa ni kwa ajili ya haja haina neno. Hakuna neno kujifunza nazo ikiwa malengo ni sahihi. Hata hivyo haijuzu kujifunza nazo kwa sababu ya kuzipenda.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kujifunza-lugha-kwa-sababu-ya-dawah/