Swali: Kujifunza elimu ya kidini kwa ajili ya Allaah (´Azza wa Jall) na kumfuata Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kunazingatiwa ni katika kumpenda Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Ndio, ni katika kumpenda Allaah. Kwa sababu ndio sababu. Sababu yake ni kumpenda Allaah na Mtume wake. Kujifunza elimu ya kidini kwa sababu ya kuvutikiwa nayo ni katika kumpenda Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
- Imechapishwa: 16/12/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)