Swali: Kuna mtu amekuja msikitini siku ya ijumaa wakati ambapo muadhini anaadhini adhaana ya pili. Je, amuitikie au aswali swalah ya mamkizi ya msikiti?
Jibu: Wanazuoni wamesema katika hali hii aswali Rak´ah mbili na asijishughulishe kumuitikia muadhini. Hilo ni kwa sababu apate muda wa kusikiliza Khutbah ya ijumaa. Kwa sababu kusikiliza Khutbah ni wajibu na kumuitikia muadhini inapendeza. Jambo linalopendeza haliwezi kuvutana na jambo la wajibu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/202)
- Imechapishwa: 03/05/2026
Swali: Kuna mtu amekuja msikitini siku ya ijumaa wakati ambapo muadhini anaadhini adhaana ya pili. Je, amuitikie au aswali swalah ya mamkizi ya msikiti?
Jibu: Wanazuoni wamesema katika hali hii aswali Rak´ah mbili na asijishughulishe kumuitikia muadhini. Hilo ni kwa sababu apate muda wa kusikiliza Khutbah ya ijumaa. Kwa sababu kusikiliza Khutbah ni wajibu na kumuitikia muadhini inapendeza. Jambo linalopendeza haliwezi kuvutana na jambo la wajibu.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/202)
Imechapishwa: 03/05/2026
https://firqatunnajia.com/kuitikia-adhaana-au-kuswali-rakah-mbili/