Swali: Je, kuamini kunakuwa kwa maneno au kwa vitendo?
Jibu: Kuitakidi kunakuwa kwa maneno na vitendo ya moyo mfano wa khofu, matarajio, mapenzi na mfano wake. Kusadiki ndio maneno ya moyo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31376/هل-اعتقاد-القلب-يكون-بالقول-او-بالعمل
- Imechapishwa: 23/10/2025
Swali: Je, kuamini kunakuwa kwa maneno au kwa vitendo?
Jibu: Kuitakidi kunakuwa kwa maneno na vitendo ya moyo mfano wa khofu, matarajio, mapenzi na mfano wake. Kusadiki ndio maneno ya moyo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31376/هل-اعتقاد-القلب-يكون-بالقول-او-بالعمل
Imechapishwa: 23/10/2025
https://firqatunnajia.com/kuitakidi-kwa-moyo/