Swali: Kuhukumu kinyume na yale Aliyoteremsha Allaah kwa sababu ya rushwa inazingatiwa kuwa ni upungufu katika Dini?

Jibu: Ni kufuru ndogo isiyomtoa mtu katika Uislamu ikiwa kama anatambua kuwa ni mfanya maasi na wakati huo huo anaamini kuwa ni wajibu kuhukumu kwa Shari´ah…

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4734
  • Imechapishwa: 01/05/2015