Swali: Je, inafaa kutumia maji ya zamzam kwa ajili ya kupikia au kuogea janaba?
Jibu: Zamzam ni maji yenye kuheshimiwa kwa ajili ya kunywa au kutia wudhuu´ wa kawaida. Si sawa kuyatumia kwa ajili ya janaba au kuyachukulia si lolote si chochote. Ni maji matukufu. Yatumiwe kwa ajili ya kunywa. Kuyatumia kwa ajili ya janaba na mfano wake bora ni kuepuka kufanya hivo.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-استعمال-ماء-زمزم-في-الطبخ-أو-الإغتسال-من-الجنابة
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Je, inafaa kutumia maji ya zamzam kwa ajili ya kupikia au kuogea janaba?
Jibu: Zamzam ni maji yenye kuheshimiwa kwa ajili ya kunywa au kutia wudhuu´ wa kawaida. Si sawa kuyatumia kwa ajili ya janaba au kuyachukulia si lolote si chochote. Ni maji matukufu. Yatumiwe kwa ajili ya kunywa. Kuyatumia kwa ajili ya janaba na mfano wake bora ni kuepuka kufanya hivo.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-استعمال-ماء-زمزم-في-الطبخ-أو-الإغتسال-من-الجنابة
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/kuheshinu-maji-ya-zamzam/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)