Swali: Inajuzu kwa mwanamke ambaye yuko katika siku zake kugusa Qur-aan iliyopakuliwa kwenye simu?
Jibu: Simu sio msahafu. Simu, kanda na kinginecho sio msahafu. Kwa hivyo inajuzu kuibeba na kuigusa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
- Imechapishwa: 18/12/2016
Swali: Inajuzu kwa mwanamke ambaye yuko katika siku zake kugusa Qur-aan iliyopakuliwa kwenye simu?
Jibu: Simu sio msahafu. Simu, kanda na kinginecho sio msahafu. Kwa hivyo inajuzu kuibeba na kuigusa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
Imechapishwa: 18/12/2016
https://firqatunnajia.com/kugusa-qur-aan-iliyoko-kwenye-simu-wakati-wa-hedhi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)