Swali: Mtu ambaye anagusa mbwa au nguruwe ni lazima kwake kurudi kutawadha upya au inatosheleza kwake kuiosha?
Jibu: Haimlazimu kitu ikiwa ni kavu. Anaweza akazigusa na haimlazimu kuiosha. Hata hivyo anatakiwa kuosha mikono yake ikiwa ziko na maji maji.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Mtu ambaye anagusa mbwa au nguruwe ni lazima kwake kurudi kutawadha upya au inatosheleza kwake kuiosha?
Jibu: Haimlazimu kitu ikiwa ni kavu. Anaweza akazigusa na haimlazimu kuiosha. Hata hivyo anatakiwa kuosha mikono yake ikiwa ziko na maji maji.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kugusa-mbwa-na-nguruwe-%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)