Swali: Mtu ambaye anagusa mbwa au nguruwe ni lazima kwake kurudi kutawadha upya au inatosheleza kwake kuiosha?

Jibu: Haimlazimu kitu ikiwa ni kavu. Anaweza akazigusa na haimlazimu kuiosha. Hata hivyo anatakiwa kuosha mikono yake ikiwa ziko na maji maji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020