Kufunza wengine au kujifunza mwenyewe?

Swali: Ni lipi bora kuhudhuria darsa nijifunze elimu au niwafunze wale ambao wana elimu chache kuliko mimi pamoja na kuzingatia kwamba yote mawili ni lazima niyafanye katika wakati mmoja?

Jibu: Bora ni wewe kufunza katika wakati fulani na ujifunze katika wakati mwingine. Kusanya kati ya mazuri mawili. Usiyafanye yote katika wakati mmoja.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 14/12/2018