Kufululiza swawm ya nadhiri ya kufunga mwezi mzima?

Swali: Mtu ambaye ameweka nadhiri ya kufunga mwezi mzima analazimika kufunga mfululizo?

Jibu: Kwa mujibu wa nia yake. Ikiwa alikusudia kuzitekeleza kwa kufuatana, basi lazima azifanye. Vinginevyo hapana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 129
  • Imechapishwa: 05/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´