Swali: Yafukuliwe kwa haja?

Jibu: Ndio, haja ikipelekea kufanya hivo yafukuliwe na yawekwe mbali na maeneo yake kujengwe msikiti, nyumba au kitu kingine.

Swali: Yanajumuishwa makaburi ya washirikina?

Jibu: Tumeyakusudia makaburi ya washirikina. Kuhusu makaburi ya waislamu hayafukuliwi. Yanabaki mahali pake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23621/هل-يجوز-نبش-القبور-للحاجة
  • Imechapishwa: 01/03/2024