Swali: Kuna wanaosema kuwa ad-Dajjaal hayupo hivi sasa na kwamba atajitokeza wakati wa kutoka kwake?

Jibu: Udhahiri wa Hadiyth ya al-Jassaasah iko wazi kwamba yupo hivi sasa. Ameipokea Muslim katika “as-Swahiyh” yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23619/هل-الدجال-موجود-الان
  • Imechapishwa: 01/03/2024