Swali: Kuna wanaosema kwamba kusema uwongo katika hali ya usingizi ni kubaya zaidi kuliko kusema uwongo katika hali ya kuwa macho kwa kujengea dalili kwa Hadiyth aliyoipokea al-Bukhaariy:

“Hakika miongoni mwa uzushi mkubwa mno ni mtu kusimulia kwa ambayo hakuona usingizi.”?

Jibu: Kwa hali yoyote ile uwongo ni mbaya; ni mamoja kuhusu usingizini na katika hali ya kuwa macho. Namuomba Allaah usalama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23370/هل-الكذب-في-المنام-اشد-منه-في-اليقظة
  • Imechapishwa: 04/01/2024