Kudumu kuswali Sunnah ya kabla ya swalah ya Maghrib

Swali: Je, ni jambo limesuniwa kudumu juu ya kuswali Rak´ah mbili kabla ya Maghrib?

Jibu: Ni bora.

Swali: Je, mtu aziswali daima?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Swalini kabla ya Maghrib, swalini kabla ya Maghrib.” Kisha akasema: “Kwa yule atakaye.”

Hivyo si lazima, bali ni kwa yule anayetaka.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25305/هل-تشرع-المحافظة-على-الركعتين-قبل-المغرب
  • Imechapishwa: 27/02/2025