Kudumu kusoma Suurah fupifupi katika Fajr

Swali: Imamu ambaye anasoma Suurah fupifupi kwa mwendelezo?

Jibu: Afundishwe Sunnah.

Swali: Vipi akiendelea?

Jibu: Afundishwe Sunnah hata kama anaendelea. Ni kwa njia ya ubora na si lazima.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24775/حكم-اقتصار-الامام-على-قصار-السور
  • Imechapishwa: 12/12/2024