Swali: Ni yapi maoni yako kwa ambaye anachukua cheti cha Hadiyth kutoka kwa Suufiy au ambaye yuko na ´Aqiydah ya ´Ashaa´irah au ya Khawaarij?
Jibu: Mimi binafsi sionelei hivo. Namnasihi kila ambaye anauheshimu mfumo wa Salaf asiutweze kwa kuwarejelea watu hawa.
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kashf-us-Sitaar, uk. 10
- Imechapishwa: 29/10/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket