Swali: Mwenye kuchinja kondoo na tumboni mwake kuna mtoto. Je, kuna neno juu ya hilo?

Jibu: Hakuna neno juu ya hilo. Akimchinja ni halali na mtoto wake aliyemo tumboni.

  • Mhusika: Imaaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=12796
  • Imechapishwa: 19/11/2014