Swali: Ni ipi hukumu ya kumchinjia maiti anapokufa?
Jibu: Haina neno akichinja kwa kumkusudia kumtolea swadaqah yule maiti ni sawa. Hadiyth isemayo:
“Watengenezeeni famili ya Ja´far chakula, kwa sababu wamefikwa na jambo lenye kuwashughulisha.”
ni dhaifu. Kwa sababu inapitia kwa Khaalid Saarah. Ama kuchinja kwa ajili ya maiti na kuwa na imani fulani juu yake mbali na Allaah, ni shirki.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 25
- Imechapishwa: 18/01/2025
Swali: Ni ipi hukumu ya kumchinjia maiti anapokufa?
Jibu: Haina neno akichinja kwa kumkusudia kumtolea swadaqah yule maiti ni sawa. Hadiyth isemayo:
“Watengenezeeni famili ya Ja´far chakula, kwa sababu wamefikwa na jambo lenye kuwashughulisha.”
ni dhaifu. Kwa sababu inapitia kwa Khaalid Saarah. Ama kuchinja kwa ajili ya maiti na kuwa na imani fulani juu yake mbali na Allaah, ni shirki.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 25
Imechapishwa: 18/01/2025
https://firqatunnajia.com/kuchinja-baada-ya-mtu-kuaga-dunia/