Kuchemua ndani ya swalah

Swali: Mtu akichemua ndani ya swalah amshukuru Allaah kwa kupaza sauti?

Jibu: Hapana, pasi na kupaza sauti. Aseme baina yake yeye na nafsi yake.

Check Also

Ni mambo gani yanayomfanya mtu kumuogopa Allaah na kumkurubia?

Swali: Ni mambo gani ambayo yanapelekea mtu kumuogopa Allaah, kujua kuwa anamuona, kutarajia thawabu zilizoko …