Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutumia vidonge vya kuchelewesha hedhi ili mume wake aweze kumwingilia?
Jibu: Inajuzu kwake kufanya hivo. Inafaa kwake kutumia vidonge vya kuchelewesha hedhi ili aweze kufunga na kufanya Twawaaf. Inajuzu kufanya hivo, lakini ni lazima kwanza kuwashauri madaktari. Anaweza kutumia dawa zenye kumdhuru. Ikiwa hakumdhuru hakuna neno. Hata hivyo kuziepuka ndio bora zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
- Imechapishwa: 14/12/2016
Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kutumia vidonge vya kuchelewesha hedhi ili mume wake aweze kumwingilia?
Jibu: Inajuzu kwake kufanya hivo. Inafaa kwake kutumia vidonge vya kuchelewesha hedhi ili aweze kufunga na kufanya Twawaaf. Inajuzu kufanya hivo, lakini ni lazima kwanza kuwashauri madaktari. Anaweza kutumia dawa zenye kumdhuru. Ikiwa hakumdhuru hakuna neno. Hata hivyo kuziepuka ndio bora zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
Imechapishwa: 14/12/2016
https://firqatunnajia.com/kuchelewesha-hedhi-kwa-ajili-ya-jimaa/