Swali: Je, inajuzu kuchelewesha ´Aqiyqah wiki moja mpaka mbili?
Jibu: Hakuna neno. Ni sawa kuchelewesha ´Aqiyqah wiki moja, mbili na kadhalika. Jambo hili ni sahali. Hata hivyo bora zaidi ni kuharakisha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%2004-07-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket