Swali: Ambaye anabobea katika kisomo cha Qur-aan analazimishwa kubobea vilevile katika masuala ya Tajwiyd. Je, unapendekeza kwake kuachana na somo hili?
Jibu: Ndio. Asibobee katika Tajwiyd. Ajifunze kiasi anachohitajia. Hilo lisimzuie na kujfunza maana na kuizingatia Qur-aan.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)