Swali: Kuna mtu mmoja Ulaya amezini na mwanamke ambapo akapata ujauzito. Je, inafaa kwa mwanamke kuavya mimba kutokana na mazingira ya kijamii na ya kifamilia?
Jibu: Hapana, haijuzu. Haifai kuporomosha mimba. Ni haki yake. Haijuzu kumshambulia na khaswa kama ameshapuliziwa roho.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 27/07/2023