Kuapa kwa kuweka mkono juu ya msahafu

Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mkono juu ya msahafu kisha mtu akaapa?

Jibu: Hili halina msingi. Msahafu hautumiwi kwa kuweka mkono juu yake wakati wa kuapa. Hautumiwi kwa hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340527.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020