Kuanza Khutbah ya ijumaa kwa jina la Allaah

Swali: Ni ipi hukumu ya kuanza kwa jina la Allaah katika Khutbah ya ijumaa kisha baada ya hapo ndio akamhimidi Allaah?

Jibu: Hilo halina msingi. Haikupokelewa kwamba Khutbah ya ijumaa inaanza kwa kutaja jina la Allaah. Hatutakiwi kuzusha kitu kutoka vichwani mwetu. Inatakiwa kuanza kwa kumhimidi Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 11/10/2020