Swali: Kuna mtu ameamka na janaba wakati wa Rak´ah moja kabla ya wakati wa swalah kutoka. Je, atangulize kujitwaharisha au wakati?
Jibu: Ikiwa yuko na maji atangulize kujitwaharisha. Asiswali na yuko na janaba. Ikiwa anahitaji kutafuta maji kwanza au kununua, afanye Tayammum na kuswali. Ama ikiwa yuko na maji asiswali mpaka ajitwaharishe kwanza hata kama wakati utatoka.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Kuna mtu ameamka na janaba wakati wa Rak´ah moja kabla ya wakati wa swalah kutoka. Je, atangulize kujitwaharisha au wakati?
Jibu: Ikiwa yuko na maji atangulize kujitwaharisha. Asiswali na yuko na janaba. Ikiwa anahitaji kutafuta maji kwanza au kununua, afanye Tayammum na kuswali. Ama ikiwa yuko na maji asiswali mpaka ajitwaharishe kwanza hata kama wakati utatoka.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuamka-na-janaba-dakika-moja-kabla-ya-wakati-kumalizika/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)