Kuacha biashara kwa ajili ya uchaji

Swali: Wako ambao wanajiepusha na kufanya biashara kwa ajili ya kuchukua tahadhari.

Jibu: Hakuna mashiko. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya biashara. Vivyo hivyo Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walifanya biashara ilihali wao ndio watu bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 157
  • Imechapishwa: 14/02/2023