Kondoo au mbuzi aliyetelekezwa jangwani

Swali: Nikimpata kondoo aliyetelekezwa jangwani napata dhambi nikimwacha kwa kuzingatia kwamba anaweza kuwa khatarini?

Jibu: Haikulazimu. Mwache mpaka pale atakapokuja mwenye naye. Si jukumu lako.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 05/03/2022