Swali: Kilichookotwa Makkah ni kama maeneo mengine yote?

Jibu: Hapana. Vitu vinavyookotwa Makkah havihifadhiwi hata kama kutapita mwaka mzima. Ima mtu akitangaze mpaka pale atakapokuja mwenye nacho au kiache mahali pake na usikichukue.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 05/03/2022